Aina ndogo

Orodha ya Hadithi

1. Umejengwa uislamu kwa mambo matano - 2 ملاحظة
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
2. Yeyote miongoni mwenu atayeona jambo ovu na baya basi aliondoshe kwa mkono wake, ikiwa hawezi kuliondoa kwa mkono wake basi aliondoe kwa ulimi wake, na ikiwa hawezi kuliondoa kwa ulimi basi na alichukie kutoka moyoni mwake, na kuchukia moyoni ni udhaifu wa imani - 4 ملاحظة
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
3. Yeyote atakayefanya wema katika Uislamu basi hatoadhibiwa kwa yale aliyoyatenda katika zama za ujinga, na yeyote atakaye tenda maovu akiwa katika Uislamu ataadhibiwa kwa makosa yake ya mwanzo na ya mwisho
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
4. Waonaje ikiwa nitaswali swala zilizofaradhishwa, na nikafunga Ramadhani, na nikahalalisha kilichokuwa halali na nikaharamisha kilichokuwa haramu
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
5. Twahara ni nusu ya imani, na kusema Al-hamdulillah neno hilo hujaza mizani, na neno Sub-hanallah neno Alhamdulillah maneno hayo mawili hujaza mizani- au hujaza- sehemu iliyopo kati ya Mbingu na Ardhi - 2 ملاحظة
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
6. Kwa hakika imefikia wakati ambao mtu atafikiwa na hadithi yangu akiwa amekaa kwenye tandiko lake na akisema: Hakika kitakachotuhukumu kati yetu ni kitabu cha Mwenyezi Mungu - 6 ملاحظة
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
7. Basi tambua kuwa haki za Mwenyezi Mungu kwa waja wake ni wamuabudu yeye na wala wasimshirikishe na kitu chochote, na haki za waja kwa Mwenyezi Mungu asimwaadhibu yeyote ambaye hajamshirikisha yeye na chochote
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
8. Yeyote atakaye kufa hali ya kuwa hamshirikishi Mwenyezi Mungu na kitu chochote ataingia peponi, na atakaye kufa akiwa anamshirikisha Mwenyezi Mungu na kitu chochote ataingia motoni
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
9. Nieleze ndani ya Uislamu kauli ambayo sitomuuliza yeyote zaidi yako, akasema: "Sema: Nimemuamini Mwenyezi Mungu, kisha kuwa na msimamo - 2 ملاحظة
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
10. Kwa hakika Mwenyezi Mungu atamchagua mtu mmoja katika umma wangu mbele ya mkusanyiko wa watu siku ya Kiyama
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
11. Mwenyezi Mungu alipoumba Pepo na Moto alimtuma Malaika Jibril -Amani iwe juu yake- aende peponi
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
12. Aliandika Mwenyezi Mungu makadirio ya viumbe kabla ya kuumba Mbingu na Ardhi kwa zaidi ya miaka elfu hamsini
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
13. Shikamaneni na kumcha Mwenyezi Mungu, na usikivu na utii, hata kama (mzungumzaji) atakuwa mtumwa tena muhabeshi (Muethiopia), na mtakuja kuona baada yangu hitilafu nyingi - 6 ملاحظة
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
14. Atakapo sema Muadhini: Allahu Akbaru Allahu Akbaru, kisha akasema mmoja wenu: Allahu Akbaru Allahu Akbaru
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
15. Atakayeisahau swala, basi aiswali atakapoikumbuka, haina kafara nyingine isipokuwa hiyo
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
16. Hakika kilicho kati ya mtu na ushirikina na ukafiri ni kuacha swala
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
17. Hakika ahadi iliyopo kati yetu na wasiokuwa waislamu ni sala, na atakayeiacha sala basi huyo ni kafiri - 2 ملاحظة
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
18. Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: Nimeigawa swala baina yangu na mja wangu nusu mbili, na mja wangu ana haki ya kupata alichooomba
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
19. Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, mimi sijaacha dhambi yoyote wala maasi yoyote isipokuwa nimeyafanya, akasema: "Hivi wewe hautamki neno la shahada "Ash-hadu an-laa ilaaha illa llahu wa anna Muhamadan rasuulullah?
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
20. na hakika yeye hajawahi kusema hata siku moja: Ewe Mola wangu nisamehe makosa yangu siku ya Kiyama
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
21. "Hivi mnajua kuwa Mola wenu amesema nini?" Wakasema: Mwenyezi Mungu na Mtume wake ndiyo wanajua zaidi, akasema: "Watu wangu kwenye kuteremka Mvua wamegawanyika makundi mawili kuna waumini na makafiri
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
22. kwa kusema kuwa hakika sisi twapata katika nafsi zetu mambo ambayo yamuia uzito mmoja wetu kuyasema, akasema: "Ni kweli mnayapata hayo kwenye nafsi zenu?" Wakasema: "Ndiyo" Akasema: "Hiyo ndiyo imani ya kweli
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
23. Mwenyezi Mungu ni mkubwa Mwenyezi Mungu ni mkubwa, namshukuru Mwenyezi Mungu ambaye amevirudisha vitimbi vya Shetani na vikageuka kuwa ni wasiwasi
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
24. Shetani humjia mmoja wenu na akamwambia: Ni nani aliumba kitu fulani? Mpaka anafikia kusema ni nani alimuumba Mola wako? Basi ikiwa atafikia kuuliza hivyo basi na ajikinge kwa Mwenyezi Mungu na awache kuuliza maswali hayo
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
25. Matendo yapo ya aina sita na watu wapo wako aina nne, basi kuna watu wa aina mbili wanaostahiki malipo, na malipo yao huwa sawa na matendo yao, na jema moja hulipwa kwa kumi mfano wake, na jema moja huzidishwa mpaka kufikia mema mia saba
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
26. Kwa hakika Mwenyezi Mungu hamdhulumu muumini kwa jema alilofanya, huandikiwa thawabu za wema wake hapa Duniani na hulipwa thawabu hizo huko Akhera
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
27. Umekwisha pokea malipo yako kutokana na mema uliyoyatanguliza
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
28. Kwa hakika Mwenyezi Mungu anapenda ichukuliwe ruhusa yake katika kufanya yaliyo mepesi, kama vile anavyopendelea kwa waja wake kufanya mambo yake aliyowawajibishia kuyafanya
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
29. Mfano wa mtu mnafiki, ni kama Mbuzi mwenye kutangatanga baina ya makundi mawili ya Mbuzi, wakati mwingine huwa na kundi hili na wakati mwingine huwa na kundi lile
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
30. Hakika Imani huoza na kudhoofika kwenye mwili wa mmoja wenu kama inavyooza nguo mpya kwa kukaa muda mrefu, basi muombeni Mwenyezi Mungu aifanye Imani kuwa mpya kwenye nyoyo zenu
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
31. Kwa hakika miongoni mwa alama za Kiyama ni kuondolewa elimu, na kuzidi ujinga, na kukithiri uzinifu, unywaji pombe, na wanaume watakuwa wachache na wanawake watakuwa wengi mpaka itafikia wanawake hamsini kusimamiwa na mwanaume mmoja
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
32. Hakitosimama Kiyama mpaka apite mtu juu ya kaburi la mtu aseme: Natamani ningekua nafasi yake
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
33. Hakitasimama Kiyama mpaka mpigane na Mayahudi, mpaka jiwe ambalo nyuma yake kuna Myahudi liseme: Ewe Muislamu huyu hapa Myahudi nyuma yangu njoo umuuwe
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
34. Namuapa yule ambaye nafsi yangu iko mkononi mwake, hivi karibuni atakuteremkieni Issa mwana wa Mariam atakuwa hakimu na muadilifu, atavunja misalaba, na ataua nguruwe, na ataweka kodi (Jizia), na mali itabugujika (itakuwa nyingi) mpaka itafikia mahali hakuna yeyote atakayeikubali
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
35. Hakita simama Kiyama mpaka jua lichomoze kutoka upande wa Magharibi, na likichomoza na wakaliona watu wote wataamini
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
36. Hakitosimama kiyama mpaka zama zikaribiane
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
37. Ataikamata Mwenyezi Mungu ardhi, na ataikunja mbingu kwa mkono wake wa kulia kisha atasema: Mimi ndiye Mfalme; wako wapi wafalme wa ardhi?
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
38. Birika langu ukubwa wake ni sawa na mwendo wa mwezi mzima, maji yake ni meupe kuliko maziwa, na harufu yake ni nzuri kuliko ya Miski - 2 ملاحظة
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
39. Kwa hakika mimi nitakuwa kwenye Birika langu namtazama kila mwenye kuja kwangu kunywa, na kuna watu watafukuzwa, na nitasema: Ewe Mola wangu huyu anatokana na mimi na ni katika umma wangu
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
40. Namuapa yule ambaye nafsi yangu ipo mikononi mwake, kwa hakika vyombo vyake ni vingi kama wingi wa nyota mbinguni na sayari zake
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
41. Mauti yataletwa yakiwa kama dume la Kondoo mwenye rangi mchanganyiko ya weusi na weupe - 2 ملاحظة
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
42. Moto wenu wa Dunia ni sawa na sehemu tu ya sabini itokanayo na moto wa Jahannam
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
43. Ametuhadithia Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- naye ni mkweli mwenye kukubaliwa: "Kwa hakika mmoja wenu hukusanywa umbile lake kwenye tumbo la mama yake mchana arobaini na nyusiku arobaini - 4 ملاحظة
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
44. Kila jambo linakuwa kwa namna lilivyopangwa, mpaka kushindwa kufanya jambo fulani au kulifanya kwa ufanisi, au kufanya kwa ufanisi au kushindwa kabisa kufanya
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
45. Mwenyezi Mungu akimpangia mja afie sehemu fulani humfanya ahitajie kitu sehemu ile
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
46. Yeyote atakayenisingizia mimi uongo kwa makusudi basi ajiandalie makazi yake kuwa ni motoni - 8 ملاحظة
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
47. na mimi ndiye ninaitwa Dhwamam Bin Thaalaba ndugu wa Banii Saad Bin Bakri
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
48. Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alitaja jambo fulani, akasema: "Jambo lenye kuogopesha litakuwa wakati itakapo ondoka elimu
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
49. Msiwafanye Mayahudi na Manaswara kuwa ni wakweli wala ni waongo, na semeni hivi {Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yote yaliyoteremshwa kwetu sisi}
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
50. Msijifunze elimu kwa ajili ya kujifaharisha kuwa ni katika maulama, wala kwa kujadiliana na wasiokuwa na elimu - 2 ملاحظة
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
51. Amepigia mfano Mwenyezi Mungu wa njia iliyonyooka
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
52. Uliteremshwa Wahyi kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akiwa na umri wa miaka arobaini - 4 ملاحظة
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
53. Alikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake-, hajui kitenganishi kati ya Sura na Sura nyingine mpaka imteremkie {Bismillahir Rahmanir Rahiim}
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
54. Je anapenda mmoja wenu pindi atakaporudi kwa mke wake apate Ngamia watatu wenye mimba na walio nenepa?
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
55. Ataambiwa msomaji wa Qur'ani: Soma na upande daraja, na soma kwa utulivu kama ulivyokuwa ukisoma Duniani, kwa hakika upandaji wa cheo chako utakomea katika Aya ya mwisho utakayoisoma - 4 ملاحظة
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
56. Mwenye kuisoma Qur'ani kwa sauti ya wazi ni kama mwenye kutoa sadaka hadharani, na mwenye kuisoma Qur'ani kwa siri ni kama mwenye kuficha sadaka
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
57. walikuwa wakitusomea Aya kumi kutoka kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake-, hivyo hawakuwa wakichukua Aya kumi zingine mpaka wawe wamekwishayafanyia kazi yaliyo ndani ya aya hizo kumi kwa kujifunza na kuyafanyia kazi
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
58. Ewe baba Mundhir, hivi unaijua aya gani katika kitabu cha Mwenyezi Mungu ambayo ni tukufu zaidi?" Akasema: Nikasema: {Allahu laa ilaaha illa huwal hayyul qayyuum} Al-baqara: Basi akanipiga katika kifua changu, akasema: Nakuombea Mwenyezi Mungu elimu ikupe furaha ewe baba Mundhir - 10 ملاحظة
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
59. Kuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alikuwa anapolala kitandani kwake wakati wa kila usiku alikuwa akikusanya viganja vyake, kisha akivipuliza na kuvisomea : {Qul-huwallahu Ahad}, na {Qul-A uudhu birabbil falaq} na (Qul-Auudhu birabbi naas }
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
60. Mayahudi wameghadhibikiwa, na Wakristo ni wapotofu
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
61. Ikiwa utawaona wenye kufuata Aya zenye kutatiza basi hao ndiyo ambao Mwenyezi Mungu amewataja katika aya
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
62. Hakuna mtu yeyote atakayetenda dhambi, kisha akasimama akajitwaharisha, kisha akaswali, kisha akamuomba Allah msamaha, isipokuwa Mwenyezi Mungu humsamehe
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
63. Akasema: "Watahesabiwa kwa hiyana waliyokufanyia na kukuasi na kukudanganya, na itahesabiwa adhabu yako uliyowapa
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
64. Hivi yule aliyemfanya atembee kwa miguu miwili hawezi kumfanya atembee kwa uso wake siku ya Kiyama?
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
65. Sema: Laa ilaaha illa llahu, nitakutolea ushuhuda wa kusilimu kwa maneno hayo siku ya Kiyama
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
66. Hakika haya unayoyasema na kuwalingania watu ni mambo mazuri, ikiwa utatwambia juu ya haya tuliyoyafanya kama yana kafara
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
67. Nenda kwamwambie: Wewe si miongoni mwa watu wa motoni, bali ni katika watu wa peponi
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
68. Enyi watu hakika Mwenyezi Mungu ameondosha kwenu nyinyi kiburi cha zama za ujinga, na kujifaharisha kwa nasaba - 2 ملاحظة
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
69. Kisha hakika bila shaka mtakuja kuulizwa kuhusu neema
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
70. Kutakuwa mwisho wa umma wangu na watu, wakikuhadithieni mambo ambayo humkuwahi kuyasikia nyinyi wala baba zenu, ole wenu na ole wao - 2 ملاحظة
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
71. Andika, namuapa yule ambaye nafsi yangu iko mkononi mwake, hakitoki ndani yake ila haki - 2 ملاحظة
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
72. Alikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- akitawadha kila wakati wa swala
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
73. Alitawadha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- mara moja moja
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
74. Anasimulia kuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alitawadha mara mbili mbili
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
75. Atakapo hisi mmoja wenu chochote tumboni kwake, akapata wasi wasi, je kuna chochote kimemtoka au la?, basi asitoke msikitini mpaka asikie sauti, au anuse harufu
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
76. Ni haki kwa kila muislamu aoge katika kila siku saba walau siku moja, aoshe ndani yake kichwa chake na mwili wake
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
77. Nilimwendea Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- nikitaka kuwa muislamu, akaniamrisha nioge kwa maji na mkunazi
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
78. Mtakapo msikia muadhini basi semeni mfano wa yale anayo yasema, kisha mnitakie rehema - 6 ملاحظة
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
79. Atakayejenga msikiti kwa ajili ya Mwenyezi Mungu basi Mwenyezi Mungu atamjengea Peponi nyumba mfano wake
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
80. Kusali ndani ya Msikiti wangu huu ni bora kuliko sala elfu moja zinazo swaliwa nje ya Msikiti huu isipokuwa Msikiti wa Makka
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
81. Atakapoingia mmoja wenu msikitini basi asali rakaa mbili kabla hajakaa
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
82. Atakapoingia mmoja wenu msikitini basi aseme: Allaahummaf-tah lii abwaaba rahmatika (Ewe Mola wangu, nifungulie milango ya rehema zako), na akitoka aseme: Allaahumma innii as-aluka min fadhlika (Ewe Mola wangu ninakuomba unipe katika fadhila zako)
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
83. Ewe Bilali, simamisha swala, tupe raha kwayo
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
84. Enyi watu! Bila shaka nimefanya hivi ili muige na mjifunze swala yangu
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
85. Pindi mtakaposwali basi nyoosheni safu zenu, kisha akuongozeni mmoja wenu, atakapotoa takbira basi toeni takbira
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
86. Namuapa yule ambaye nafsi yangu iko mkononi mwake, hakika mimi ndiye mtu niliyekaribu zaidi kwenu nyinyi swala yangu kufanana na swala ya Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake-, bila shaka hii ndio ilikuwa swala yake mpaka alipoondoka duniani
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
87. Mwizi mbaya zaidi kuliko watu wote, ni yule anayeiba swala yake" Akasema: Ataiba vipi swala yake? Akasema: "Hatimizi rukuu zake wala sijida zake
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
88. Alikuwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- anaponyanyua mgongo wake kutoka katika rukuu anasema: "Sami'allaahu liman hamidah - 2 ملاحظة
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
89. Yakwamba Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alikua akisema mwishoni mwa kila swala ya faradhi
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
90. Yakwamba Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alikuwa akisema kati ya sijida mbiliL "Rabbigh-firlii, Rabbigh-firlii
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
91. Huyo ni Shetani anaitwa Khinzab, ukimuhisi basi haraka sana taka ulinzi kutoka kwa Allah dhidi yake, na uteme kushotoni kwako mara tatu
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu