En Ar


Mradi wa ukusanyaji wa Hadithi za bwana mtume na kuzifanyia Tarjama:

Mradi uliojitosheleza kwa ajili ya kuchagua Hadithi za Bwana mtume ambazo Zinazojirudiarudia kwa yenyekuhusu uislamu na ufafanuzi wake kwa mapana yenye kutosheleza, kisha kuzifanyia tarjama kwa kiwango cha juu kwa mpangilio wa kina kwenye lugha zilizo hai, na kuzitoa bure kwa kila njia yenyekufaa..

Malengo:

 1. Kupata kumbukumbu na marejeo ya bure yenye hadhi ya kimataifa na yenye kukubalika na ya kisasa kwa ajili ya kufanya Tarjama za Hadithi za mtume kwa lugha tofauti ..
 2. Kutoa kumbukumbu kwa njia za kielektironia za kufanya tarjama za Hadithi kwa wenye kufanya tarjama..
 3. Kuzifikisha Tarjama kwa walengwa kwa njia zote zinazofaa na kuwezekana..

Faida ya ukusanyaji:

 1. Ujumuishaji.
 2. Upatikanaji bure..
 3. Kupatikana Tarjama tofautitofauti..
 4. Uboreshaji endelevu.
 5. Ukamilifu.

Hatua za uanzishaji na undelezaji:

 1. Kujenga ujumuisho kwa lugha ya kiarabu.
 2. Kuifanyia tarjama huu ukusanyaji kunda kwenye lugha tofauti.
 3. Uchapishaji na usambazaji wa Insiclopidia kwa njia ya mtandao.
 4. Uboreshaji endelevu wa insiclopidia.