Aina ndogo

Orodha ya Hadithi

Atakapo mpenda mtu ndugu yake amwambie kuwa anampenda.
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Alikuwa mtu mmoja akiwadai watu, na alikuwa akimwambia kijana wake: Ukimuendea mwenye hali ngumu msamehe, huenda Mwenyezi Mungu akatusamehe na sisi, akakutana na Mwenyezi Mungu akamsamehe.
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Kwamba mtu mmoja alimwambia Mtume -Rehma na amani ziwe juu yake- Niusie, Akasema: Usikasirike, akarudiarudia swali na Mtume naye akaendelea kumwambia: Usikasirike.
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Hakika waadilifu mbele ya Mwenyezi Mungu watakuwa katika majukwaa ya nuru: wale wanaofanya uadilifu katika hukumu zao, na watu wao na yale waliyoyatawala
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Usidharau kabisa katika wema kitu chochote, hata kama nikukutana na ndugu yako kwa uso mkunjufu.
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Hawi mtu mkali kwa miereka, hakika mkali ni yule anayemiliki nafsi yake wakati wa hasira
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Atakayejulisha juu ya kheri yoyote, atapata malipo mfano wa malipo ya mfanyaji wake.
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Yeyote mwenye kumuamini Mwenyezi Mungu na siku ya mwisho basi na aseme la kheri au anyamaze, Na Yeyote mwenye kumuamini Mwenyezi Mungu na siku ya mwisho basi na amkirimu jirani yake, Na Yeyote mwenye kumuamini Mwenyezi Mungu na siku ya mwisho basi na amkirimu mgeni wake.
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Asiyewahurumia watu hatomuhurumia Mwenyezi Mungu
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Atakayerudisha heshima ya ndugu yake, basi Mwenyezi Mungu atauweka mbali uso wake na moto siku ya kiyama
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Wenye huruma huwahurumia Ar-Rahmani -Mwingi wa huruma-, wahurumieni watu wa ardhini atakuhurumieni aliyeko mbinguni.
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Hato msitiri mja mja mwenzie duniani isipokuwa atamsitiri Mwenyezi Mungu siku ya kiyama
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa