Orodha ya Hadithi

Muunga udugu sio yule mlipizaji,, lakini muunga udugu ni yule ambaye unapovunjwa udugu wake anauunga
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Mkamilifu zaidi wa waumini katika imani ni yule mwenye tabia nzuri zaidi kati yao, na mbora wenu ni mbora wenu kwa wake zake
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Dunia ni starehe, na starehe yake bora ni mke mwema.
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu: Toa ewe mwanadamu utapewa
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Hakika masharti yenye haki zaidi ya kutekelezwa ni yale ambayo mmehalalisha kwayo nyuchi.
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Atakapotoa mtu kwa familia yake tumizi lolote akitaraji malipo basi hilo kwake ni sadaka
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Amekataza Mtume wa Allah -Rehma na amani ziwe juu yake kunyoa panki(Kiduku)
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Alitufundisha Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake- Hotuba ya haja: Hakika kila sifa njema ni za Mwenyezi Mungu, tunamtaka msaada na tunamuomba msamaha, na tunajilinda kwake kutokana na shari ya nafsi zetu
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Hakuna ndoa bila walii (msimamizi)
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Hakika dunia ni tamu, ni ya kijani, na hakika Mwenyezi Mungu anakumilikisheni ndani yake aone ni namna gani mtafanya, iogopeni dunia na waogopeni wanawake; kwani hakika fitina ya kwanza ya wana wa Israeli ilikuwa kwa wanawake
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Hachukii muumini wa kiume tabia za muumini wa kike, akichukia tabia fulani basi ataridhishwa na tabia nyingine. Au alisema:tofauti na hiyo
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Kila mmoja miongoni mwenu ni mchunga hivyo ataulizwa kuhusu raia wake
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Asisafiri mwanamke mwendo wa siku mbili mpaka awe pamoja na mume wake, au maharimu yake
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa