Orodha ya Hadithi

Shikamaneni na hii Qur'ani, Namuapa yule ambaye nafsi ya Muhammad iko mkononi mwake, hiyo ni nyepesi sana kuponyoka kuliko ngamia kuponyoka kutoka kwenye kamba yake.
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Mbora wenu ni yule aliyejifunza Qur'ani na akaifundisha
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Msizifanye nyumba zenu kuwa makaburi, hakika shetani huikimbia nyumba
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Atakayezisoma aya mbili za mwisho wa suratul Baqara katika wakati wa usiku zitamtosheleza
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Atakayesoma herufi moja katika kitabu cha Mwenyezi Mungu basi atapata jema moja na jema hilo kwa mema kumi mfano wake
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Kilipomfikia Abuu Twalib kifo, Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- alimuendea akamkuta Abdullahi bin Abii Umaiyya na Abuu Jahli wakiwa wake, Akasema kumwambia mgonjwa: Ewe baba mdogo, Sema Laa ilaaha illa llaah -Hapana Mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu-, neno ambalo nitakutetea kwalo kwa Mwenyezi Mungu.
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa