عَنْ ‌عَدِيِّ بْنِ حَاتِمٍ عَنِ النَّبِيِّ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَ:
«الْيَهُودُ مَغْضُوبٌ عَلَيْهِمْ، وَالنَّصَارَى ضُلَّالٌ».

[صحيح] - [رواه الترمذي]
المزيــد ...

Kutoka kwa Adiy bin Hatim kutoka kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- amesema:
"Mayahudi wameghadhibikiwa, na Wakristo ni wapotofu".

Sahihi - Imepokelewa na Imamu Tirmidhiy

Ufafanuzi

Ameeleza Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- yakuwa Mayahudi ni watu waliokasirikiwa na Mwenyezi Mungu; kwa sababu waliujua ukweli na wala hawakuufanyia kazi. Na Wakristo ni watu waliopotea; kwa sababu walifanya matendo bila ya elimu.

Tafsiri: Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa Lugha ya Kiurdu Lugha ya Kiindonesia Lugha ya Kibosnia Kichina Kifursi Kihindi Kisin-hala Ki ighori Kikurdi Kihausa Kimalayo Kunakili kumbukumbu mahala pa kutafsiri Burmese Thai Pashto Kiassam السويدية الأمهرية الهولندية الغوجاراتية الدرية
Kuonyesha Tarjama

Katika Faida za Hadithi

  1. Kukusanya kati elimu na matendo ni kuokoka na njia ya waliokasirikiwa na waliopotea.
  2. Kutahadhari njia ya Mayahudi na Wakristo, na kushikamana na njia iliyonyooka ambayo ni Uislamu.
  3. Wote kati ya Mayahudi na Wakristo wamepotea na wamekasirikiwa, lakini sifa maalum kwa Mayahudi ni hasira, na sifa maalum kwa Wakristo ni upotovu.