عن أنس بن مالك رضي الله عنه:
أَنَّ النَّبِيَّ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ كَانَ لَا يَرُدُّ الطِّيبَ.  
                        
[صحيح] - [رواه البخاري] - [صحيح البخاري: 2582]
                        
 المزيــد ... 
                    
Imepokewa kutoka kwa Anas bin Maalik -Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake-:
Yakwamba Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alikuwa hakatai marashi. 
                                                     
                                                                                                    
[Sahihi] - [Imepokelewa na Al-Bukhaariy] - [صحيح البخاري - 2582]                                            
Ilikuwa katika muongozo wa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- alikuwa hakatai marashi na anayapokea; kwa sababu ni mepesi kubebeka na yana harufu nzuri.