Aina za kimatawi

Orodha ya Hadithi

Hivi nisikuelezeni juu ya dhambi kubwa kuliko yote?
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
"Jiepusheni na mambo saba yenye kuangamiza, wakasema: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu ni yapi hayo? Akasema: Ni kumshirikisha Mwenyezi Mungu, na uchawi, na kuuwa nafsi aliyoiharamisha Mwenyezi Mungu ispokuwa kwa haki, na kula riba, na kula mali ya yatima, na kukimbia siku ya mapambano, na kuwazulia machafu wanawake waumini wenye kujihifadhi wenye kujizuia na machafu".
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Jiepusheni na dhana, kwani dhana ni maneno ya uongo
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Haingii peponi mfitinishaji
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Watu wanaochukiza zaidi kwa Mwenyezi Mungu ni mgomvi zaidi
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Amekataza Mtume wa Allah -Rehma na amani ziwe juu yake kunyoa panki(Kiduku)
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Tumekatazwa kujilazimisha
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Alipita Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- katika makaburi mawili, Akasema: Hakika hawa wawili wanaadhibiwa, na hawadhibiwi kwa madhambi makubwa; ama mmoja wao: alikuwa hajisitiri kutokana na mkojo, na ama huyu mwingine: Alikuwa akitembea akiwafitinisha watu
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Hakika mimi ninajua neno ambalo laiti angelisema yangemuondokea yaliyompata, lau angelisema: Au'dhubillaahi minshaitwanir-rajiim, -Najilinda kwa Mwenyezi Mungu kutokana na shetani aliyelaaniwa, yangemuondokea yaliyompata
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa