Aina: . . .
+ -
عن أبي هريرة رضي الله عنه عن النبي صلى الله عليه وسلم قال:

«اجْتَنِبُوا السَّبْعَ الْمُوبِقَاتِ»، قَالُوا: يَا رَسُولَ اللهِ وَمَا هُنَّ؟ قَالَ: «الشِّرْكُ بِاللهِ، وَالسِّحْرُ، وَقَتْلُ النَّفْسِ الَّتِي حَرَّمَ اللهُ إِلَّا بِالْحَقِّ، وَأَكْلُ الرِّبَا، وَأَكْلُ مَالِ الْيَتِيمِ، وَالتَّوَلِّي يَوْمَ الزَّحْفِ، وَقَذْفُ الْمُحْصَنَاتِ الْمُؤْمِنَاتِ الْغَافِلَاتِ».
[صحيح] - [متفق عليه] - [صحيح البخاري: 2766]
المزيــد ...

Imepokelewa Kutoka kwa Abuu Huraira -Radhi za Allah ziwe juu yake- kutoka kwa Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- amesema:
"Yaepukeni mambo saba yenye kuangamiza" Wakasema: Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu ni yapi hayo? Akasema: "Ni kumshirikisha Mwenyezi Mungu (na kitu kingine), na uchawi, na kuua nafsi aliyoiharamisha Mwenyezi Mungu isipokuwa kwa haki, na kula riba, na kula mali ya yatima, na kukimbia siku ya vita, na kuwatuhumu machafu waumini wa kike waliojihifadhi wasiojua lolote (kuhusu huo uchafu)"

الملاحظة
আসসালামু আলাইকুম সন্মানিত শায়খ। আশা করি আল্লাহর রহমতে ভালো ও সুস্থ আছেন। আমি রাসিকুল ইসলাম,ভারত এর পশ্চিমবঙ্গ রাজ্যের, মুর্শিদাবাদ জেলা থেকে। আমি জানিনা আপনারা বাংলা লেখা বুঝতে পারবেন কিনা। তার সাথে ইংলিশ দিলাম। আপনাদের সহীহ কুরআন সুন্নাহ ভিত্তিক একটি গুরুত্ব পুর্ন ওয়েবসাইট। আমরা এখান থেকে উপকৃত হই। এই সাইটে এর আগে দেখেছিলাম কিছু হাদিসের রেফারেন্স ছিলনা ও শেষে হাদিস এর সিক্ষা ছিলনা। আলহামদুলিল্লাহ্‌ এখন দেখতে পাচ্ছি সেই গুলি আপডেট দিয়েছেন। জানিনা সব গুলি প্রমান সহকারে দিয়েছেন কি। দিয়ে থাকলে আলহামদুলিল্লাহ্‌। না থাকলে দিলে আর উপকৃত হবো আলহামদুলিল্লাহ্‌। শেষে শিক্ষণীয় বিষয় দিচ্ছেন এটা অনেক উপকার হয় আমাদের। আসলে হাদিস পড়লাম কিন্তু সেই হাদিস থেকে কি শিখলাম এটি সমসসা থেকে যায়। যাই হোক আল্লাহ্‌ আপনাদের দ্বীন খেদমত কে কবুল করুন। এবং জান্নাতুল ফেরদাউস নসীব করুন। আমীন। জাজাকাল্লাহ খাইরান। Assalamu Alaikum respected Shaykh. I hope you are well and healthy by the grace of Allah. I am Rasikul Islam from Murshidabad District, West Bengal State of India. I don't know if you can understand Bengali writing. I gave English with him. An important website based on your Sahih Quran and Sunnah. We benefit from this. I saw earlier on this site that there was no reference to some hadiths and there was no study of hadiths at the end. Alhamdulillah I can see now that they have updated. I don't know if all the were given with proof. Alhamdulillah if given. If not, I will benefit from it, Alhamdulillah. It is very beneficial for us to give the learning material at the end. I actually read the hadith but what I learned from that hadith remains a question. Anyway, may Allah accept your religious service. And grant Jannatul Firdaus. amen Jazakallah Khairan.
النص المقترح لا يوجد...

[Sahihi] - [Wamekubaliana Bukhaariy na Muslim] - [صحيح البخاري - 2766]

Ufafanuzi

Anaamrisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- umma wake kujitenga mbali na maovu saba na maasi yenye kuangamiza, na alipoulizwa ni yapi hayo? akayabainisha kuwa ni:
La kwanza: Ni kumshirikisha Mwenyezi Mungu na kitu kingine, kwa kujifanyia mshirika na mfano wake utakasifu ni wake kwa namna yoyote ile itakayokuwa, na kuielekeza aina yoyote ya ibada miongoni mwa ibada kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu Mtukufu, na kaanza na ushirikina; kwa sababu ndio dhambi kubwa kuliko yote.
La pili: Uchawi -Nao namna ya ufungaji mafundo na makombe na madawa na ufukishaji mioshi-, yanayoleta athari katika mwili wa mwenye kurogwa kwa kuua au kutia maradhi, au kuwatenganisha kati ya wana ndoa wawili, nayo ni kazi ya kishetani, na wengi wao hawaufikii uchawi isipokuwa kwa ushirikina na kujikurubisha kwa maruhani wachafu kwa kitu wanachokipenda.
La tatu: Ni kuua nafsi aliyokataza Allah isiuliwe isipokuwa kwa kigezo cha kisheria, na hutekelezwa na hakimu.
La nne: Kutumia riba kwa kula au kwa njia nyingine katika njia za kunufaika.
La tano: Kufanya uadui katika mali ya mtoto mdogo aliyefiwa na baba yake naye akiwa chini ya umri wa kubalehe.
La sita: Kukimbia katika vita kati ya waislamu na makafiri.
La saba: Kuwatuhumu wanawake huru wenye kujizuia na machafu kwa uzinifu, na vile vile kuwatuhumu wanaume.

Katika Faida za Hadithi

  1. Nikuwa madhambi makubwa idadi yake siyo saba pekee, na kutajwa kwake pekee kuwa ni saba ni kwa sababu ya ukubwa wake na hatari yake.
  2. Ruhusa ya kuua nafsi ikiwa ni kwa haki kama kisasi na kuritadi na zinaa baada ya ndoa, na hii hutekelezwa na hakimu aliyewekwa kisheria.
الملاحظة
أن قذف الكافر ليس من الكبائر.
اذا هل يجوز اتهام شخص غير مسلم بالزنا؟ مع العلم ان "سوء الظن اثم" و بقي احق نتهم؟
النص المقترح "أن قذف الكافر ليس من الكبائر."
Tafsiri: Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu Kiispania Lugha ya Kiindonesia Ki ighori Kibangali Lugha ya kifaransa Kituruki Lugha ya Kirashia Lugha ya Kibosnia Kisin-hala Kihindi Kichina Kifursi Kivetenamu Kitagalogi Kikurdi Kihausa Kireno Kimalayo Kitelguu Kunakili kumbukumbu mahala pa kutafsiri Burmese Thai German Kijapani Pashto Kiassam Albanian السويدية الأمهرية الهولندية الغوجاراتية Luqadda qer-qeesiya النيبالية Luqadda yuruuba الليتوانية الدرية الصربية الصومالية الطاجيكية Luqadda kiniya ruwadiga الرومانية المجرية التشيكية الموري Luqadda malgaashka الفولانية Kiitaliano Luqadda Oromaha Luqadda kinaadiga الولوف البلغارية Luqadda Asariga اليونانية الأكانية الأوزبكية الأوكرانية الجورجية المقدونية
Kuonyesha Tarjama
Aina tofauti
  • . .
  • . .