عَنْ أَبِي هُرَيْرَةَ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ عَنْ رَسُولِ اللَّهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَ:
«لاَ تَقُومُ السَّاعَةُ حَتَّى تُقَاتِلُوا اليَهُودَ، حَتَّى يَقُولَ الحَجَرُ وَرَاءَهُ اليَهُودِيُّ: يَا مُسْلِمُ، هَذَا يَهُودِيٌّ وَرَائِي فَاقْتُلْهُ».

[صحيح] - [متفق عليه]
المزيــد ...

Imepokelewa kutoka kwa Abuu Huraira -Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake- amesema:
"Hakitasimama Kiyama mpaka mpigane na Mayahudi, mpaka jiwe ambalo nyuma yake kuna Myahudi liseme: Ewe Muislamu huyu hapa Myahudi nyuma yangu njoo umuuwe."

Sahihi - Wamekubaliana Bukhaariy na Muslim

Ufafanuzi

Amefahamisha Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- kuwa Kiyama hakitasimama mpaka Waislamu watakapopigana na Mayahudi, Mpaka atakapo kimbia Myahudi nyuma ya mawe ili ajifiche waislamu wasimuone; Mwenyezi Mungu atalitamkisha jiwe na litamuita Muislamu: Na kumwambia kuwa Myahudi yupo nyuma yake mpaka aje na amuuwe.

Tafsiri: Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa Kiispania Kituruki Lugha ya Kiurdu Lugha ya Kiindonesia Lugha ya Kibosnia Kibangali Kichina Kifursi Kihindi Kivetenamu Kisin-hala Ki ighori Kikurdi Kihausa Kimalayo Kitelguu Kunakili kumbukumbu mahala pa kutafsiri Burmese Thai Pashto Kiassam Albanian السويدية الأمهرية الهولندية الغوجاراتية الدرية
Kuonyesha Tarjama

Katika Faida za Hadithi

  1. Kutoa habari -Mtume Rehema na amani ziwe juu yake-ya baadhi ya mambo yaliyofichikana na yatakayotokea baadaye, kwa namna ambayo Mwenyezi Mungu alivyomuonesha, na mambo hayo yatatokea kwa lazima.
  2. Waislamu kupigana na Mayahudi katika zama za mwisho, na tukio hilo ni katika alama za Kiyama.
  3. Kubakia kwa Dini ya Uislamu mpaka siku ya Kiyama, na itazishinda dini zote.
  4. Nusura ya Mwenyezi Mungu kwa waislamu dhidi ya maadui zao, na katika hilo la kuwashinda ameyafanya mawe yaongee katika siku za mwisho.