Haya za Mtume Rehema na Amani za Allah ziwe juu yake:

1Orodha ya Hadithi

Orodha ya Hadithi 1

Alikuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake na haya zaidi kuliko hata bikira ndani ya chumba chake, basi anapoona jambo asilolipenda tunajua kuwa hapendi kwa kupitia usoni kwake