Orodha ya Hadithi

Ninaloliogopea zaidi kwenu nyinyi: ni shirki ndogo, akaulizwa kuhusu hilo, akasema: ni Riyaa (kujionyesha).
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
"Hakika Mwenyezi Mungu amefaradhisha (kutenda) wema katika kila kitu, hivyo mtakapoua basi uweni vizuri (kwa wema), na mtakapochinja basi chinjeni vizuri, na anowe mmoja wenu kisu chake, na akistareheshe kichinjwa chake".
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Ewe Mwenyezi Mungu yeyote atakayesimamia katika jukumu lolote la umma wangu, akawapa tabu, mpe tabu juu yake
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Alikuwa Mtume wa Allah -rehema na amani ziwe juu yake ni mwenye tabia nzuri kuliko watu wote.
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Ilikuwa tabia ya Mtume wa Allah rehma na amani za Allah ziwe juu yake ni Qur'ani
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Sikumuona Mtume -Rehema Amani ziwe juu yake- katu akipitiliza kucheka mpaka kionekane Kilimi ndani ya mdomo wake, bali alikuwa akitabasamu
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Hivi nikuhadithieni hadithi kuhusu Dajali ambayo hajawahi kuhadithia Nabii yeyote watu wake! Hakika yeye ni chongo, na hakika yeye atakuja akiwa pamoja na mfano wa pepo na moto, anayoisema kuwa ni pepo huo ndio moto
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Alikuwa Mtume Rehema na Amani zimfikie na haya (aibu) nyingi kuliko msichana bikra akiwa chumbani kwake
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Yalikuwa maneno ya Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- ni maneno ya wazi anayaelewa kila mwenye kuyasikia
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Alichelewesha Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- swala ya ishaa, akatoka Omar, akasema: Swala Ewe Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, wamelala wanawake na watoto, akatoka na kichwa chake kikitona maji akisema: Lau kama nisingehofia kuwapa tabu umma wangu basi ningewaamrisha swala hii waiswali wakati huu
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa