Ushujaa wake Mtume Rehema na Amani za Allah ziwe juu yake:

1Orodha ya Hadithi

Orodha ya Hadithi 1

Hakuwahi kupewa hiyari Mtume rehema na amani ziwe juu yake baina ya mambo mawili hata siku moja isipokuwa atachukua jepesi lake, madamu si dhambi, ikiwa itakuwa ni dhambi, basi hujiwekanalo mbali kuliko watu wote