Sijida kwa ajili ya kusahau na kusoma na kushukuru

1Orodha ya Hadithi

Orodha ya Hadithi 1

Atakapopata shaka mmoja wenu katika swala yake, akawa hajui kaswali rakaa ngapi tatu au nne? Basi aachane na shaka na ajenge yakini (uhakika), kisha atasujudu sijida mbili kabla hajatoa salamu