+ -

عَنْ أَبِي عَبْسٍ عَبْدُ الرَّحْمَنِ بْنِ جَبْرٍ رضي الله عنه أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَ:
«مَا اغْبَرَّتْ قَدَمَا عَبْدٍ فِي سَبِيلِ اللَّهِ فَتَمَسَّهُ النَّارُ».

[صحيح] - [رواه البخاري] - [صحيح البخاري: 2811]
المزيــد ...

Kutoka kwa Abuu Absi Abdulrahman bin Jabri radhi za Allah ziwe juu yake yakwamba Mtume rehema na amani ziwe juu yake amesema:
"Haijawahi kupata vumbi miguu ya mja yeyote katika njia ya Mwenyezi Mungu, halafu ikaguswa na moto".

[Sahihi] - [Imepokelewa na Al-Bukhaariy] - [صحيح البخاري - 2811]

Ufafanuzi

Mtume rehema na amani ziwe juu yake alimbashiria yeyote itakayepatwa na vumbi miguu yake huku akiwa katika njia ya Mwenyezi Mungu kuwa moto hautomgusa.

Tafsiri: Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu Kiispania Lugha ya Kiindonesia Ki ighori Kibangali Lugha ya kifaransa Kituruki Lugha ya Kirashia Lugha ya Kibosnia Kisin-hala Kihindi Kichina Kifursi Kivetenamu Kitagalogi Kikurdi Kihausa Kireno Kimalayo Thai Pashto Kiassam الأمهرية الهولندية الغوجاراتية النيبالية
Kuonyesha Tarjama

Katika Faida za Hadithi

  1. Habari njema kwa mwenye kupigana katika njia ya Mwenyezi Mungu ya kuokoka na moto.
  2. Ametaja miguu miwili pamoja nakuwa vumbi huenea mwili mzima; kwa sababu wapigana
  3. ji wengi katika zama hizo walikuwa watembea kwa miguu, na miguu hupata vumbi kwa namna yoyote ile.
  4. Amesema bin Hajari: Ikiwa kitendo cha kuguswa na vumbi pekee kinaharamisha kuguswa na moto; vipi kwa atakayekwenda mbio na akatoa juhudi na akapoteza muda wake.