«مَنْ لَبِسَ الحَرِيرَ فِي الدُّنْيَا لَمْ يَلْبَسْهُ فِي الآخِرَةِ».
[صحيح] - [متفق عليه]
المزيــد ...
Kutoka kwa Omar bin Khattwab Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake- Amesema: Amesema Mtume -Rehema na Amaani ziwe juu yake-: "Msivae hariri; kwani atakayeivaa duniani hatoivaa Akhera".
Sahihi - Wamekubaliana Bukhaariy na Muslim
Katika hadithi hii kuna katazo la kuvaa hariri kwa wanaume, nakuwa adhabu ya mvaaji wake nikuwa yeye hatoivaa akhera, kwasababu malipo huendana namna ya matendo.