عن عبد الله بن عباس -رضي الله عنهما- قال: قال رسول الله -صلى الله عليه وسلم-: "إياكم والغُلُوَّ؛ فإنما أهلك من كان قبلكم الغُلُوُّ".
[صحيح] - [رواه ابن ماجه وأحمد]
المزيــد ...

Kutoka kwa Abdallah bin Abbasi- Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao- Amesema: Amesema Mjumbe wa Mwenyezi Mungu -Rehema na Amani ziwe juu yake- : "Tahadharini na kuchupa mipaka, bila shaka kilichowaangamiza waliokuwa kabla yenu ni kuchupa mipaka".
Sahihi - Imepokelewa na Ibnu Maajah

Ufafanuzi

Anatukataza Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- katika hadithi hii kutochupa mipaka katika dini, nako ni kupita kiasi ndani yake; ili tusiangamie kama zilivyoangamia umma zilizopita pindi walipochupa mipaka katika dini yao na wakavuka kiwango katika ibada zao.

Kufanya Tarjama: Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa Kiispania Kituruki Lugha ya Kiurdu Lugha ya Kiindonesia Lugha ya Kibosnia Lugha ya Kirashia Kibaghali Kichina Kifursi Kitagalogi Kihindi Kisin-hala Kikurdi Kireno
Kuonyesha Tarjama
Donate