قَالَ رَسُولُ اللهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ لِامْرَأَةٍ مِنَ الْأَنْصَارِ سَمَّاهَا ابْنُ عَبَّاسٍ فَنَسِيتُ اسْمَهَا: «مَا مَنَعَكِ أَنْ تَحُجِّي مَعَنَا؟» قَالَتْ: لَمْ يَكُنْ لَنَا إِلَّا نَاضِحَانِ فَحَجَّ أَبُو وَلَدِهَا وَابْنُهَا عَلَى نَاضِحٍ وَتَرَكَ لَنَا نَاضِحًا نَنْضِحُ عَلَيْهِ، قَالَ: «فَإِذَا جَاءَ رَمَضَانُ فَاعْتَمِرِي، فَإِنَّ عُمْرَةً فِيهِ تَعْدِلُ حَجَّةً».
[صحيح] - [متفق عليه]
المزيــد ...
Kutoka kwa Abdillahi bin Abbasi Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao -Hadithi Marfu'u- :"Ibada ya Umra ndani ya ramadhani inalingana na Hija -au Hija pamoja nami"
Kutekeleza ibada ya umra katika mwezi wa ramadhani kunafanana malipo yake na malipo ya Hija ya sunna au Hija pamoja na Mtume Rehema na Amani ziwe juu yake-, na makusudio yake ni katika utukufu na malipo, si kwamba umra ndani ya ramadhani inafikia uwajibu wa Hija.