Aina za kimatawi

Orodha ya Hadithi

Haki za Muislamu juu ya muislamu ni tano: Kujibu salamu, na kumtembelea mgonjwa, na kusindikiza jeneza, na kuitika wito, na kumtakia rehma mwenye kupiga chafya.
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Si halali kwa muislamu kumhama ndugu yake zaidi ya siku tatu, wanakutana: huyu anampuuza huyu, na huyu anampuuza huyu, na mbora wao ni yule anayeanza kwa salamu
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Atakapokutana mmoja wenu na ndugu yake basi na amsalimie, ukiwatenganisha kati yao mti, au ukuta, au jiwe, kisha akakutana naye tena basi amsalimie
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Amsalimie aliyepanda anayetembea, na anayetembea aliyekaa, na wachache kwa wengi
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa