Orodha ya Hadithi

Atakapougua mja au akasafiri ataandikiwa malipo sawa na mfano wa yale aliyokuwa akiyafanya akiwa mkazi na mzima wa afya.
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Muabuduni Mwenyezi Mungu peke yake msimshirikishe yeye na chochote, na acheni wanayosema baba zenu, na anatuamrisha swala na ukweli
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Waliamrishwa watu kuwe kuagana kwao kwa mwisho ni katika nyumba (Alka'ba), isipokuwa likaondoshwa hilo kwa mwanamke mwenye hedhi
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Waelezeni watu yale wanayoyafahamu, Hivi mnataka akadhibishwe (apingwe) Mwenyezi Mungu na Mtume wake
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Kilipomfikia Abuu Twalib kifo, Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- alimuendea akamkuta Abdullahi bin Abii Umaiyya na Abuu Jahli wakiwa wake, Akasema kumwambia mgonjwa: Ewe baba mdogo, Sema Laa ilaaha illa llaah -Hapana Mola apasaye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu-, neno ambalo nitakutetea kwalo kwa Mwenyezi Mungu.
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa