Aina za kimatawi

Orodha ya Hadithi

Maneno yanayopendeka zaidi kwa Mwenyezi Mungu ni manne, haikudhuru kwa lolote utakaloanza nalo: Sub-haanallah (Ametakasika Mwenyezi Mungu) Al-hamdulillaah (Kila sifa njema zinamstahiki Mwenyezi Mungu), Na, Laa ilaaha illa llaah, (Hapana Mola ispokuwa Mwenyezi Mungu), Na Allahu Akbar (Mwenyezi Mungu Mkubwa)
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Maneno mawili yanapendeka sana kwa Ar-Rahmani (Mwingi wa Rehema) ni mepesi sana katika ulimi, ni mazito sana katika mizani: Sub-haana llaahi wabihamdihi- Ametakasika Mwenyezi Mungu na sifa njema zake, Sub-haana llaahil A'dhwiim- Ametakasika Mwenyezi Mungu Mtukufu
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Kusema kwangu Sub-haana llaah, wal hamdulillaah, wa laa ilaaha illa llaahu wallaahu Akbaru,- Ametakasika Mwenyezi Mungu na kila sifa njema zinamstahiki Mwenyezi Mungu na hapana Mola ispokuwa Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu Mkubwa.
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa