Aina: . .
+ -
تفصيل علة الحديث في جامع العلوم والحكم لابن رجب

عن عبد الله ابن عباس رضي الله عنهما أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال: «إن الله تَجَاوزَ لِي عن أمتي الخطأَ والنِّسْيانَ وما اسْتُكْرِهُوا عليه».
[ضعيف] - [رواه ابن ماجه]
المزيــد ...

Kutoka kwa Abdillah bin Abbas -Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake- Hadithi Marfu'u: "Hakika Mwenyezi Mungu ameniondolea mimi kwa umma wangu (madhambi ya) kukosea na kusahau, na yale waliyolazimishwa".

الملاحظة
ورواه أيضا والطبراني في (المعجم الأوسط)(8273)، والبيهقي (11787).
النص المقترح لا يوجد...

[Ni sahihi kwa njia zake na ushahidi wake] - [Imepokelewa na Ibnu Maajah]

Ufafanuzi

Miongoni mwa huruma ya Mwenyezi Mungu Mtukufu kwa umma huu ni kuusamehe madhambi ya kukosea -Nayo ni yale ambayo hawajakusudia miongoni mwa maasi- na kusahau wajibu wao au kufanya maharamisho, lakini baadaye akikumbuka wajibu wake anaufanya, hivyo hivyo hata yale waliyolazimishwa na wakatezwa nguvu kuyafanya katika maasi na makosa ya jinai, Akasema Mwenyezi Mungu Mtukufu: "Na hakukufanyieni juu yenu uzito katika dini".

Katika Faida za Hadithi

Tafsiri: Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu Kiispania Lugha ya Kiindonesia Ki ighori Kibangali Lugha ya kifaransa Kituruki Lugha ya Kirashia Lugha ya Kibosnia Kisin-hala Kihindi Kichina Kifursi Kitagalogi Kikurdi Kihausa Kireno
Kuonyesha Tarjama
Aina tofauti
  • .