عَنْ عُقْبَةَ بْنِ عَامِرٍ رَضيَ اللهُ عنه عَنْ رَسُولِ اللهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَ:
«كَفَّارَةُ النَّذْرِ كَفَّارَةُ اليَمِينِ».
[صحيح] - [رواه مسلم] - [صحيح مسلم: 1645]
المزيــد ...
Imepokelewa kutoka kwa Uqba bin Aamir -radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake- kutoka kwa Mtume -rehema na amani ziwe juu yake amesema:
"Kafara ya nadhiri ndio kafara ya kiapo".
[Sahihi] - [Imepokelewa na Imamu Muslim] - [صحيح مسلم - 1645]
Amebainisha Mtume rehema na amani ziwe juu yake kuwa kafara ya kiapo cha jumla kisipoambatanishwa na kile anachokitaka au kukitaja: Ni kama kafara ya kiapo.