+ -

عن كعب بن عياض رضي الله عنه قال: سمعت رسول الله صلى الله عليه وسلم يقول: «إن لكل أُمَّة فتنة، وفِتنة أُمَّتي: المال».
[صحيح] - [رواه الترمذي والنسائي في الكبرى وأحمد]
المزيــد ...

Kutoka kwa ka'bu bin Iyadh- Radhi za Allah ziwe juu yake- Amesema: Nilimsikia Mtume -Rehema na amani ziwe juu yake- " Akisema: "Hakika kila umma una mtihani wake, na mtihani wa umma wangu: ni mali".
Sahihi - Imepokelewa na Imamu Tirmidhiy

Ufafanuzi

Amesema Ka'bu bin Iyadh -Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake- Nilimsikia Mjumbe wa Mwenyezi Mungu -Rehema na Amani ziwe juu yake- Akisema: (Hakika kila umma una mtihani wake) Nayo ni ile wanayotahiniwa kwayo na kujaribiwa katika mambo. (Na mtihani wa Umma wangu ni mali) kwasababu ndio unaozuia ukamilifu wa kuandaa marejeo; Hivyo upuuzi hushughulisha hisia na kusimamia mambo ya utiifu na kusahau Akhera.

Tafsiri: Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu Kiispania Lugha ya Kiindonesia Ki ighori Kibangali Lugha ya kifaransa Kituruki Lugha ya Kirashia Lugha ya Kibosnia Kisin-hala Kihindi Kichina Kifursi Kivetenamu Kitagalogi Kikurdi Kireno Kunakili kumbukumbu mahala pa kutafsiri
Kuonyesha Tarjama