عَنِ ابْنِ عَبَّاسٍ رَضِيَ اللهُ عَنْهُمَا قَالَ:
مَا قَاتَلَ رَسُولُ اللهِ صَلَّى اللهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَوْمًا قَطُّ حَتَّى يَدْعُوَهُمْ.
[صحيح] - [رواه أحمد والبيهقي] - [سنن البيهقي: 18232]
المزيــد ...
Kutoka kwa bin Abbas- radhi za Allah ziwe juu yao amesema:
Hakuwahi kuwapiga vita Mtume rehema na amani ziwe juu yake watu hata siku moja isipokuwa kwanza alianza kuwaita katika Uislamu.
[Sahihi] - [رواه أحمد والبيهقي] - [سنن البيهقي - 18232]
Ameeleza bin Abbasi radhi za Allah ziwe juu yao kuwa Mtume rehema na amani ziwe juu yake hakuwahi kuanza kuwapiga vita watu mpaka kwanza awaite katika Uislamu, wasipokubali wito wake anawapiga vita.