Aina ndogo

Orodha ya Hadithi

Fikisheni toka kwangu walau Aya moja, na simulieni kuhusu wana wa Israeli wala hakuna tabu, na atakayenizulia uongo juu yangu kwa makusudi basi ajiandalie makazi yake motoni.
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Na hakika aliyoyaharamisha Mjumbe wa Mwenyezi Mungu ni sawa na aliyoyaharamisha Mwenyezi Mungu
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Shikamaneni na kumcha Mwenyezi Mungu, na usikivu na utii, hata kama (mzungumzaji) atakuwa mtumwa tena muhabeshi (Muethiopia), na mtakuja kuona baada yangu hitilafu nyingi
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Yeyote atakayenisingizia mimi uongo kwa makusudi basi ajiandalie makazi yake kuwa ni motoni
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Kutakuwa mwisho wa umma wangu na watu, wakikuhadithieni mambo ambayo humkuwahi kuyasikia nyinyi wala baba zenu, ole wenu na ole wao
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
Andika, namuapa yule ambaye nafsi yangu iko mkononi mwake, hakitoki ndani yake ila haki
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa