Aina za kimatawi

Orodha ya Hadithi

Atakapoingia mtu nyumbani kwake, akamtaja Mwenyezi Mungu Mtukufu wakati wa kuingia kwake na wakati wa kula kwake husema shetani kuwaambia jamaa zake: Hamna malazi wala chakula cha usiku kwenu, na atakapoingia akawa hakumtaja Mwenyezi Mungu Mtukufu wakati wa kuingia kwake, shetani husema: mmepata malazi na chakula cha usiku
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa
"Ewe Mwenyezi Mungu hakika mimi nakuomba uongofu na uchamungu na kujizuia na machafu nakuwa ni mwenye kutosheka".
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya kifaransa