Aina ndogo

Orodha ya Hadithi

Palipo karibu zaidi kwa mja na Mola wake ni pale anapokuwa kasujudu,Basi zidisheni dua
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
Ni dua ipi inasikilizwa zaidi? Akasema: katikati ya mwisho wa usiku, na mwisho wa swala za faradhi
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
Enyi watu! Hakika Mwenyezi Mungu ni mzuri hakubali ila vizuri, na hakika Mwenyezi Mungu amewaamrisha waumini kwa yale aliyowaamrisha kwayo Manabii
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu
Dua hairejeshwi (inayoombwa) baina ya adhana na kukimiwa swala
عربي Lugha ya kiingereza Lugha ya Kiurdu