Orodha ya Hadithi

1. Itakaposimamishwa swala na kikatengwa chakula cha usiku basi anzeni na chakula cha usiku - 3 ملاحظة
عربي الإنجليزية الأوردية
2. Nilimuuliza Anas bin Malik: alikuwa Nabii Rehema na amani za Allah ziwe juu yake- akiswali na viatu vyake? akasema: ndio
عربي الإنجليزية الأوردية
3. Hakuna kwa baba yako matatizo baada ya leo
عربي الإنجليزية الأوردية
4. Ni nani anayejiapiza kwangu kuwa sitomsamehe fulani? Hakika mimi nimemsamehe,na nimeyaporomosha matendo yako
عربي الإنجليزية الأوردية
5. Hivi hukujua kuwa uislamu hufuta madhambi yaliyokuwa kabla yake, na kuwa kuhama kunafuta madhambi yaliyokuwa kabla yake, nakuwa Hija inafuta madhambi yaliyokuwa kabla yake?
عربي الإنجليزية الأوردية
6. Yakwamba mtu mmoja alimuuliza Mtume -Rehema na Amani ziwe juu yake- na mguu wake ukiwa tayari umeuweka kwenye kipandwa (yaani yuko tayari kwa safari): Ni jihadi ipi bora? Akasema: ni neno la haki kwa kiongozi muovu
عربي الإنجليزية الأوردية
7. Haijabakia katika utume isipokuwa viashiria vya habari njema
عربي الإنجليزية الأوردية
8. Anachokipata aliyekufa shahidi katika maumivu ya kifo, ni kama maumivu anayoyapata mmoja wenu kutokana na kung'atwa na mdudu chungu - 6 ملاحظة
عربي الإنجليزية الأوردية
9. Hainifurahishi mimi kumiliki dhahabu mfano wa mlima huu wa Uhudi, zikapita siku tatu nikawa hata na dinari moja (katika mali hiyo) isipokuwa kiasi ninachokihifadhi kwaajili ya kulipa deni, isipokuwa niseme kwa waja wa Mwenyezi Mungu hivi na vile. - 1 ملاحظة
عربي الإنجليزية الأوردية
10. Hivi unaonaje ikiwa nitauwawa katika njia ya Mwenyezi Mungu, je yatafutwa makosa yangu?
عربي الإنجليزية الأوردية
11. Kunyonya pamoja kuna haramisha yale yanayo haramishwa na kuzaliwa pamoja
عربي الإنجليزية الأوردية