Kuitakidi - Kuamini- kuhusu maswahaba. Radhi za Allah ziwe juu yao.

1Orodha ya Hadithi

Orodha ya Hadithi 1

Msiwatukane Maswahaba wangu, kwa sababu, lau kama yeyote kati yenu atatoa dhahabu sawa na (mlima) Uhud (katika njia ya Mwenyezi Mungu), basi haiwezi kuwa sawa na theluthi mbili ya kilo ya mmoja wao wala nusu yake